M me4u Member Joined Oct 26, 2012 Posts 42 Reaction score 13 Mar 3, 2017 #1 Habari, Nina bajeti ya milioni 5 na ninahitaji gari kati ya hiz Vits new model Toyota alex/Runx Kama unayo tuwasiliane inbox
Habari, Nina bajeti ya milioni 5 na ninahitaji gari kati ya hiz Vits new model Toyota alex/Runx Kama unayo tuwasiliane inbox
Danpol JF-Expert Member Joined Aug 15, 2013 Posts 5,747 Reaction score 9,012 Mar 3, 2017 #2 Ongeza.. sogea sogea, bei ya chini sana hyo Vits new model 7-8 mil Alex bei hiyo hiyo... zipo katika hali nzuri. Namba D
Ongeza.. sogea sogea, bei ya chini sana hyo Vits new model 7-8 mil Alex bei hiyo hiyo... zipo katika hali nzuri. Namba D
enky Senior Member Joined Aug 30, 2011 Posts 123 Reaction score 142 Mar 3, 2017 #3 yaaah hata mie ninayo at least 7 nakuachia kiroho safi sitaki udalali namba DBB