Tripo9 JF-Expert Member Joined Sep 9, 2009 Posts 4,373 Reaction score 3,586 Nov 5, 2011 #1 Nahitaji gari ya kukodi ya kuzolea takataka. Ni katika mitaa ninayokaa. Nataka nizoe taka na nichangishe pesa kidogo kutoka kwa wananchi wa hili eneo husika huku. Nafanya hivyo maana naona sirikali yangu ya mtaa imeshindwa kazi hii. Nawakilisha,
Nahitaji gari ya kukodi ya kuzolea takataka. Ni katika mitaa ninayokaa. Nataka nizoe taka na nichangishe pesa kidogo kutoka kwa wananchi wa hili eneo husika huku. Nafanya hivyo maana naona sirikali yangu ya mtaa imeshindwa kazi hii. Nawakilisha,
Bigirita Platinum Member Joined Feb 12, 2007 Posts 16,049 Reaction score 7,489 Nov 5, 2011 #2 Unataka la kuzolea au la kubebea taka?
Tripo9 JF-Expert Member Joined Sep 9, 2009 Posts 4,373 Reaction score 3,586 Nov 5, 2011 Thread starter #3 Bigirita said: Unataka la kuzolea au la kubebea taka? Click to expand... Haya bhana.... Cheki nyekundu hiyo
Bigirita said: Unataka la kuzolea au la kubebea taka? Click to expand... Haya bhana.... Cheki nyekundu hiyo
M-pesa JF-Expert Member Joined Sep 4, 2011 Posts 602 Reaction score 152 Nov 5, 2011 #4 Nadhani umemuelewa mtoa mada. Bigirita said: Unataka la kuzolea au la kubebea taka? Click to expand...
Nadhani umemuelewa mtoa mada. Bigirita said: Unataka la kuzolea au la kubebea taka? Click to expand...
Bigirita Platinum Member Joined Feb 12, 2007 Posts 16,049 Reaction score 7,489 Nov 5, 2011 #5 Nilikuwa sijamwelewa....mimi nina gari la kuzilea...kama zimerundikwa sehemu na kuzipakia kwenye gari ya kubebea. M-pesa said: Nadhani umemuelewa mtoa mada. Click to expand...
Nilikuwa sijamwelewa....mimi nina gari la kuzilea...kama zimerundikwa sehemu na kuzipakia kwenye gari ya kubebea. M-pesa said: Nadhani umemuelewa mtoa mada. Click to expand...
Bacardi Member Joined Jul 15, 2011 Posts 37 Reaction score 9 Nov 5, 2011 #6 Mtaa gani? Kama ni uku kwetu naeza anza kuchangia kwa mpesa now now
King’asti Platinum Member Joined Nov 26, 2009 Posts 27,866 Reaction score 24,984 Nov 5, 2011 #7 Kuna mijitu michokozi! Kha! Mi nataka gari la kunilea...
Bigirita Platinum Member Joined Feb 12, 2007 Posts 16,049 Reaction score 7,489 Nov 5, 2011 #8 Heee!! Kwani wewe ni gari Vitz au Duet au? Nina gari ya kiume itafaa sana kukulea. King'asti said: Kuna mijitu michokozi! Kha! Mi nataka gari la kunilea... Click to expand...
Heee!! Kwani wewe ni gari Vitz au Duet au? Nina gari ya kiume itafaa sana kukulea. King'asti said: Kuna mijitu michokozi! Kha! Mi nataka gari la kunilea... Click to expand...
Gurta JF-Expert Member Joined Sep 17, 2010 Posts 2,233 Reaction score 537 Nov 5, 2011 #9 Sredi ishabakwa hii...
L LAT JF-Expert Member Joined Nov 20, 2010 Posts 4,400 Reaction score 1,318 Nov 5, 2011 #10 Gurta said: Sredi ishabakwa hii... Click to expand... kweli mkuu maharamia wameshaingia, hapafai tena
Gurta said: Sredi ishabakwa hii... Click to expand... kweli mkuu maharamia wameshaingia, hapafai tena