Nahitaji Gari ya Kukodi Aina ya Suzuki Carry

HAMY-D

JF-Expert Member
Sep 18, 2011
7,149
3,817
Habari,

Husika na kichwa cha uzi hapo juu.

Mimi nipo Dar, ni mfanyabiashara mkubwa wa kusambaza maziwa aina ya Tanga fresh na Asas.

Kwa sasa nahitaji kukuza zaidi biashara yangu kwa kutanua masoko. Hivyo nahitaji gari ili niweze kufanikisha azma yangu hii.

Kwa yeyote mwenye gari tajwaa na ambae angependa tushirikiane katika hili tafadhali tuwasiliane kupitia pm kwa maelezo zaidi na makubaliano mengine.
 
Haya wadau Tenda hiyo.
Hembu funguka kwanza,maana mie nilikuwa sijaona hili Tangazo maana nipo Ughaibuni kwa muda kibizness.

Unakodi kwa mfumo upi?
Kwa siku au mkataba wa mwezi au Mwaka?

Halafu unakodi pamoja na Driver au unakodi Gari tupu,maana niliwahi kumpa mtu Carry yangu akataka bila Driver mwisho wa siku nilikuta inabeba Tofali.Wakati Mkataba ni Duka la vyakula.

Ukiingia Maktaba wa Mwaka kwa bei nzuri au at least miezi sita,mie ninazo Zangu kama tano hivi,na sasa nipo Dubai naweza kuongeza mbili.

Mie kwangu ukitaka ni kama ifuatavyo(Chini ya Mkataba na Mwanasheria wangu)
-Kodi kuanzia miezi sita hadi Mwaka mmoja,malipo unaweza kulipa kila mwezi ila mwanzo lazima ulipe mwezi wa kwanza
-Driver lazima awe wangu,na mshahara namlipa mie,ila posho za ziada utamlipa wewe kama itakuwa majukum ya nje ya kazi na muda wa makubaliano
-Services zote zinakuwa juu yangu
-Kazi ni ndani ya Jiji na Mkoa wa Pwani tu
-Uzito wa mzigo ni lazima uwe sawa na uwezo wa Gari
-Gari inalala kwangu
 
-Gari inalala kwangu[/QUOTE

Habari. Wacha nikutafute kuhusu hili
 
Back
Top Bottom