Wakuu habari! Niliwahi panda hapa jkwaani kuhitaji gari used nikiwa na bajeti ya 2m. Ila niliyoyaona mengi hayakuwa vzuri hasa upande wa injini. Sasa nimepata nyongeza kidogo niko na 2.5m ndo bajeti yangu kwa sasa, so mwenye gari anicheki.
God bless you
Kwa uzoefu wangu gari utapata ila uandae 1m nyingine kwa ajili ya kufanya hiyo gari isikusumbue,kwani kwa bei hiyo mengi yanakuwa ni magari yenye Mileage kubwa sana...
Kwa uzoefu wangu gari utapata ila uande 1m nyingine kwa ajili ya kufanya hiyo gari isikusumbue,kwani kwa bei hiyo mengi yanakuwa ni magari yenye Mileage kubwa sana...