Na hapo ndipo utajua kwanini bible inasema watoza ushuru hawataingia mbinguni hahah.Hilo nalo ndio linalochangi maana unaweza pata kwa 2milion alafu ushuru ukajalipita 5milion[emoji2][emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Zipo kibao najua mkuu unazo zinatumia damu [emoji12]Sidhani una ufahamu kiasi gani kuhusu magari, lakini gari ya bei hiyo makinika sana ukiipata
[emoji23][emoji23][emoji23]Zipo kibao najua mkuu unazo zinatumia damu [emoji12]
Nimetokea kuichukia tu pikipki coz nimeshapata ajali mara mbili
Hapana ndugu yangu
Kama itafail ntatafuta tena 1m niongezee
Ongezea kidogo unitafute mkuu nina GX100 ya 2.4MNahitaji gari ndogo ya sh 2m. Tafadhal msaada wenu
Wakati unakata tiketi ya Zanziberi ukumbuke pia kuwa kodi yalipiwa ulifikisha gari bandari hapo......Sawa....ngoja nizame zenji kwanza. Ikifail bas itabd nisubr
Ndicho nilichomwambia pale juu kuwa gharama atayoingia katika kuileta gari kutoka zenji ni bora atafute nyenye afadhali hapa.....Zenji utapata japo nayo mmh...lakini mpaka utakapoifikisha hapa si chini ya M5 in total
Mkuu kwanini OPPA siku hizi zimeshuka bei hivi ?Ipo OPPA safi kabisa bei ni 3.8M, pia ipo nyengine bei 3M
GX 100 inatembea kilomita ngapi kwa lita ya mafuta ?Ongezea kidogo unitafute mkuu nina GX100 ya 2.4M
Inahitajika uizike fastaMkuu kwanini OPPA siku hizi zimeshuka bei hivi ?