Nahitaji gari la kununua | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nahitaji gari la kununua

Discussion in 'Matangazo madogo' started by lamwija, Mar 16, 2012.

 1. l

  lamwija New Member

  #1
  Mar 16, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama una vitz au corolla ya mwaka kuanzia 2000, 2001...... na kuendelea juu tuwasiliane, iwe na km chini ya 100,000 na iwe katika hali nzuri. bei isizidi 7Mil. no yangu ni 0755 555351. Naomba kuwasilisha.
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Mar 16, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Nina Cresta ya 2000 bei 8m,silver odo 92000km,vvti,register mwaka jana june kama ukiitaji ni PM good condition

  Alloy Rims/ac/cd
   
 3. F

  FOEL Senior Member

  #3
  Mar 16, 2012
  Joined: Jan 19, 2012
  Messages: 141
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wakuu hivi nisehemu gani naweza kupata kitimoto safi weekend hii, hali ya hewa inaruhusu sana..
   
 4. Bado Niponipo

  Bado Niponipo JF-Expert Member

  #4
  Mar 16, 2012
  Joined: Aug 15, 2008
  Messages: 680
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Mkuu hii thread inahusu gari vipi tena,

  Lakini kwa mnyama wa taifa, jaribu coco beach, pork pub...ameenda shule..
   
 5. M

  Mama Coo Member

  #5
  Mar 17, 2012
  Joined: Mar 17, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nenda mabibo ndugu yangu kama uko dar kuna kitimoto safi ya kuchoma
   
Loading...