Nahitaji gari aina ya noah nina mil 5

financ

Member
Joined
Jan 8, 2014
Posts
8
Reaction score
0
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza mwenye nayo tuwasiliane
 
Labda ka unataka scrap..
 
Unataka kuwa fundi?
 
Just a polite answer, ondoa hili taangazo utakejeliwa hapa mpk uudhike.
 
pesa mingi sana hii. mi nina bodi ya noah mil 4
 
Ongeza marambili ya hiyo nikuletee noah mayai
 
Utapata ndugu ata usiwe n shaka..
 
Kwaio iyo pesa utapata gar la pressure kila uki-drive unakuwa huna raha
 
Mkuu unakusudia Noah gani ?? Kama ni yule mnyama khaaraaaam utapata wengi sana kwa hiyo bei. Nenda pale marangu kwa mama manka. Kama ni gari kuna bodi utapata nicheki pm
 
Mkuu unakusudia Noah gani ?? Kama ni yule mnyama khaaraaaam utapata wengi sana kwa hiyo bei. Nenda pale marangu kwa mama manka. Kama ni gari kuna bodi utapata nicheki pm

:what::what::what::what:
 
lhuyo anataka scrap siyo noah
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…