Usijali King'asti we dada yangu wa ukwehe tukutuku hapana ngoja nikupige japo na ka IST siwezi shindwa uweke heshima mjini, kugombea dala dala mchezo? na hivi Morogoro road imeharibika hadi ikamilike lini?
Unanunulia Number mkuu?nakupa angalizo,gari haiangalii number yaweza hata kuwa CZZ but ni bomu!gari inaangaliwa kwanza engine,then gear Box halafu body!sio registration number wala year of manufacture!pia kwa budget yako hii huwez pata hilo gari kaka labda liwe kimeo!!panda dau tufanye biashara!ukipenda nenda kwa PM.
msalimie lara 1Number ndio habari ya mjini kama ni " A ". Kuja kuiuza tena inakuwa issue unless other wise kama ana mpango wa kuzeeka nayo.....just advising sina nia ya kuharibu business.
DON'T HUNT WHAT YOU CAN NOT KILL.
Number ndio habari ya mjini kama ni " A ". Kuja kuiuza tena inakuwa issue unless other wise kama ana mpango wa kuzeeka nayo.....just advising sina nia ya kuharibu business.
DON'T HUNT WHAT YOU CAN NOT KILL.
Wadau mwenyekujua mtu anaeuza gari haina hiyo anijulishe.
Ipo 7m ila gari iwe katka standard na kama upo nalo karibu lipge picha afu nifanyie ktk whatsapp na liwe katika namba hiz za ivi karbuni mkuu.
Wadau mwenyekujua mtu anaeuza gari haina hiyo anijulishe.