NAHITAJI FUNDI WA LAPTOP HP COMPAQ nc6120

aloveragel

Member
Feb 21, 2012
55
16
Wakuu nina hitaji fundi machine yangu hp kioo kimepata kreki hvyo akioneshi fresh nataka nikibadilishe kuna mtu anayeweza kufix hlo tatizo na screen nitapata wapi na kwa shi ngapi mwenye kujua anielekeze ni vizuri kama ukitengeneza na utabadisha na kioo kila kitu kiwe chako halafu uandike bei unataka sh ngapi nikirithia nitakupm
 
kama uko serious ni pm tupate mawasilano!
 
Back
Top Bottom