Nahitaji Fundi wa kufunga Dish la Azam Media

hp4510

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
8,952
Reaction score
9,834
Naitaji fundi wa kuja kunifungia Dish la Azam Media Nyumbani kwangu Goba, na hilo dishi tunalifungua Makongo Juu

kama kuna mtu yoyote ambae anaweza kufanya hiyo ishu anicheck kwa namba 0713 634679
 
Goba,Makongo juu!!!!!
Dish linafungwa wapi kati ya hizo sehemu mbili?au both?au unaishi mpakani(goba-makongo juu)
 
dish pia ufunguwe ndugu,jikaze kidogo
mwanzon mi nilidhan ni kaz ngumu sana ila cku moja nilimfungia jiran yangu kwa mara ya kwanza ilinichukua dk 5 tu
 
Soma vizuri kabla ujaanza kujibu..... nimesema TUNALIFUNGUA MAKONGO JUU
 
Goba,Makongo juu!!!!!
Dish linafungwa wapi kati ya hizo sehemu mbili?au both?au unaishi mpakani(goba-makongo juu)

Naitaji fundi wa kuja kunifungia Dish la Azam Media Nyumbani kwangu Goba, na hilo dishi tunalifungua Makongo Juu
 
dish pia ufunguwe ndugu,jikaze kidogo
mwanzon mi nilidhan ni kaz ngumu sana ila cku moja nilimfungia jiran yangu kwa mara ya kwanza ilinichukua dk 5 tu

Uwe unatoa kazi mafundi watakula wapi!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…