Nahitaji fundi ujenzi wa nyumba

incharge

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2011
Posts
5,829
Reaction score
9,772
Naomba msaada mwenye kumfahamu fundi ujenzi muaminifu na mtaalam kwenye fani ya ujenzi, vizuri akawa anaishi maeneo ya kimara au mbezi au maeneo jirani na hapo, msaada tafadhali
 
call 0714 227532....!kwa kazi nzuri na uaminifu wa 100%
 
nna imani mpaka hapo ushapata msaada wa kutosha. Labda to be specific ungesema ni ujenzi wa aina gani una plan kuufanya? na maeneo gani
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…