Nahitaji fridge used ndogo ya bei rahisi

Nahitaji fridge used ndogo ya bei rahisi

kilanio

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2015
Posts
221
Reaction score
69
Habar wakuu,

Nahitaji fridge ya kawaida tu ya kutumia. Iwe ndogo, budget yangu ni 100,000/=Tshs. Mwenye kuuza kwa bei hiyo aweke contact zake, ama ani PM.

Niko Dar..
 
Habar wakuu,
nahtaj fridge ya kawaida tu ya kutumia ,iwe ndogo..budget yangu ni 100,000/=Tsh..mwenye kuuza kwa bei hyo aweke contact zake,ama ani pm.niko dar.

Duuu unaanua jikoni kwa mtu friji
 
Mi nauza friji yangu mmmpyaa kabisa. Ukiitaka nitakuachia kwa laki 3.5 tu. Nipo Mwanza.

Cont:-0756851815
 
Ninayo kubwa two doors,nilikua naitumia home kwa sasa nahamia mkoa.Nipo salasala,Wazo zamani Kunduchi
Bei 250,000
0754856277
 
Ninayo kubwa two doors,nilikua naitumia home kwa sasa nahamia mkoa.Nipo salasala,Wazo zamani Kunduchi
Bei 250,000
0754856277

Ok thanks for ur digits.i'll call u.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom