Nahitaji fridge used kubwa double door

Nahitaji fridge used kubwa double door

kitigiria

Senior Member
Joined
Apr 28, 2014
Posts
149
Reaction score
41
Mwenye nalo please ni pm, ni kwa ajili ya biashara liwe katika hali nzur na milango ya kioo
 
Mwenye nalo please ni pm, ni kwa ajili ya biashara liwe katika hali nzur na milango ya kioo

Mkuu fridge ni zaidi ya picha na milango ya kioo, utapoteza pesa, km upo Dar nenda kwa wale jamaa wapo Magomeni Mapima karibu na Barclays bank ufanye wide selection. Kuwa makini unless utapoteza pesa yako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom