NAHITAJI FRIDGE NDOGO.

NAHITAJI FRIDGE NDOGO.

Tachu hano

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2016
Posts
1,616
Reaction score
2,811
Habari wakuu
Nahitaji fridge ndogo used iwe katika hali nzuri.
Mwenye nayo anicheki PM tuzungumze.

Niko songea .
 
Fridge ndogo ya milango miwili ipo.haina tatizo lolote,mlango wa juu inagandisha vizuri na chini inapooza vizuri.
bei 300k.
ipo mbezi ya kimara
 
Fridge ndogo ya milango miwili ipo.haina tatizo lolote,mlango wa juu inagandisha vizuri na chini inapooza vizuri.
bei 300k.
ipo mbezi ya kimara
Ipige picha, pande zote na ndani usisahau
 
Nina fridge dogo brand ya Boss linagandisha vizuri sana linafaa sana kwa matumizi ya nyumbani na dukani/mgahawani,bei sh 50,000 lina shida moja tuu halina mlango
 
Nina fridge dogo brand ya Boss linagandisha vizuri sana linafaa sana kwa matumizi ya nyumbani na dukani/mgahawani,bei sh 50,000 lina shida moja tuu halina mlango
mkuu naomba nitumie picha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom