Golden_boy
Member
- Nov 15, 2016
- 10
- 2
Ntafute 0717616188nahitaji fridge ndogo ya milango miwili kwa ajili ya matumizi binafsi ya nyumbani kama kuhifazia chakula na vinywaji pesa niliyo nayo ni 200,000/= naomba mwenye kujua bei halisi anijuze
Nipe No yako mkuu ipo nzuri tu jamaaampya au used ikibidi
mkuu hii chukua 180kFanya 300,000/=.nikupe hii mm nahamia mwanza kikazi.. Iko kwenye hali nzuri Kabisa inapooza kwa kasi ya hali ya juu ..
Mi nimempenda huyo mdoriFanya 300,000/=.nikupe hii mm nahamia mwanza kikazi.. Iko kwenye hali nzuri Kabisa inapooza kwa kasi ya hali ya juu ..
Kama hyo used nnayo ila ipo kigamboni inagandisha fresh 250 pungufu tunaongea ni ZECnataka kama hii
330000-350000nataka kama hii
Ipo used nzima kabisa, nicheki 0787864381 tufanye BiasharaNinahitaji Fridge, ndogo ya milango miwili kwa ajili ya matumizi binafsi ya nyumbani kama kuhifazia chakula na vinywaji pesa niliyonayo ni 200,000/=
Naomba mwenye kujua bei halisi anijuze..
Unapatkana wapIpo used nzima kabisa, nicheki 0787864381 tufanye Biashara
Bunju b,Unapatkana wap
Nipo dar, maeneo ya bunjuUpo mkoa gani mku
Nenda magomeni mikumi pale utapata mkuuNipo dar, maeneo ya bunju
pale zote vineo tu alafu bei kubwaNenda magomeni mikumi pale utapata mkuu