F Frank Shedrack Member Joined Aug 29, 2012 Posts 47 Reaction score 28 Dec 2, 2017 #1 habari wadau. nahitaji fridge mpya double door kwa matumizi ya nyumbani. nasubiri ofa zenu. napatikana dar. picha ni muhimu, pia kama kuna mtu mwenye ushauri au wap naweza pata fridge kwa bei rahisi tell me. thanks
habari wadau. nahitaji fridge mpya double door kwa matumizi ya nyumbani. nasubiri ofa zenu. napatikana dar. picha ni muhimu, pia kama kuna mtu mwenye ushauri au wap naweza pata fridge kwa bei rahisi tell me. thanks
reg edit JF-Expert Member Joined Oct 4, 2012 Posts 403 Reaction score 504 Dec 2, 2017 #2 Kuna nyuzi nyingi humu zina hizo offa, moja ni hii Jipatie bidhaa zetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo
PrincessAnne JF-Expert Member Joined Aug 3, 2017 Posts 1,875 Reaction score 2,228 Dec 2, 2017 #3 Mpya si uende madukani mkuu