Habari za saa,
Nahitaji kukodisha freezer kubwa kiasi. Muda wa kukodisha utakua ni makubaliano ya mkodishaji na mkodishwaji. Kama unafahamu namna naweza kupata freezer, nisaidie. Kama una connections itapendeza mno.
Hela ya Soda ipo. Nipo Kurasini, Dar es Salaam.