Nunua Mo Electro kwahio pesa upate na warranty ya miaka miwili.Waungwana habari za jioni.
Natafuta tv flat kampuni iwe lg,sumsung,sony,panasonic,philips,tcl,startimes,nk ila isiwe kabila la hizi za kichina .
Size iwe kuanzia 32+.iwe ni smart au led tv.
Pesa mfuko wa shati ipo 450000 ila tv yako ikinivutia zaidi naweza nikaongeza kidogo hasa kwa smart .
Pesa ni ngumu wakuu tusaidiane namimi niangalie tbc yetu.wezi walaaniwe
Kwa mawasiliano zaid PM
You made my morning be good..Mimi ninayo na naiuza,lakini kwa vile unataka kuangalia channel hiyo siwezi jiingiza kwenye hiyo dhambi!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ipo Panasonic mpya kabisa, kwa Bei hiyo ntakuuzia ingawa sio smart mkuu, sijui upo wap Kama upo dar ntakuelekeza dukan kwangu uje uibebeWaungwana habari za jioni.
Natafuta tv flat kampuni iwe lg,sumsung,sony,panasonic,philips,tcl,startimes,nk ila isiwe kabila la hizi za kichina .
Size iwe kuanzia 32+.iwe ni smart au led tv.
Pesa mfuko wa shati ipo 450000 ila tv yako ikinivutia zaidi naweza nikaongeza kidogo hasa kwa smart .
Pesa ni ngumu wakuu tusaidiane namimi niangalie tbc yetu.wezi walaaniwe
Kwa mawasiliano zaid PM
Bahati mbaya kuna smart LG inch 40 sema ni 500,000Waungwana habari za jioni.
Natafuta tv flat kampuni iwe lg,sumsung,sony,panasonic,philips,tcl,startimes,nk ila isiwe kabila la hizi za kichina .
Size iwe kuanzia 32+.iwe ni smart au led tv.
Pesa mfuko wa shati ipo 450000 ila tv yako ikinivutia zaidi naweza nikaongeza kidogo hasa kwa smart .
Pesa ni ngumu wakuu tusaidiane namimi niangalie tbc yetu.wezi walaaniwe
Kwa mawasiliano zaid PM
Asante mkuuKama unataka used, nenda Mkwajuni upande wa kwenda Studio kuna duka limeandikwa Johanesburg utapata hapo kwa bei hiyo
Ha ha haa si umesikia kesi iko mahakamani.watazirudisha na zile zingine halafu tbc wataki nayo wenyewe.Mimi ninayo na naiuza,lakini kwa vile unataka kuangalia channel hiyo siwezi jiingiza kwenye hiyo dhambi!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
USIPENDE VYA MKONONI NENDA DUKANI