MIMI NA TZ
Senior Member
- Apr 22, 2014
- 197
- 18
unataka ya bei rahisi ndio bei ipi hiyo??? toa offer watu waone kama inalipa!! mm ninazo used Dell,Hp,Samsung,Phillips,Hitachi kuanzia 15" hadi 21 bei zina range kati ya 110,000/= hadi 150,000/= nichek nipo K'koo-Dsm
0716-844978
Samahan mdau nahitaji tv flat screen
ungekuwa dsm ningekuuzia LED yangu 25'inches
Mi nauza LCD 40" yangu kwa sh. 750,000/=. kama utahitaji nipm. Haina tatizo lolote. Nahitaji kubadilisha TV.
leta 300,000/= nikupe samsung led tv ich 23 mpyaaaaaaa.....
Mi nauza LCD 40" yangu kwa sh. 750,000/=. kama utahitaji nipm. Haina tatizo lolote. Nahitaji kubadilisha TV.
Mimi nina Plazma 42 inches nauza 800,000 haina tatizo lolote nipo dar kama vipi ni pm
Wekeni hata picha basi maana wengi tupo interested eti.
Mimi nina Plazma 42 inches nauza 800,000 haina tatizo lolote nipo dar kama vipi ni pm
leta 300,000/= nikupe samsung led tv ich 23 mpyaaaaaaa.....