KIJANA2013
JF-Expert Member
- Jan 21, 2013
- 466
- 201
mtaalam nipo. sema tatizo lake nikufanyie hiyo kazi. nipo udcc, arusha. nakufuata au unakuja ofisiniHabari wana JF, natafuta mtaalamu wa kutengeneza laptop yangu ya Toshiba. Awe anapatikana Arusha, mwenye utaalamu ani pm
mtaalam nipo. sema tatizo lake nikufanyie hiyo kazi. nipo udcc, arusha. nakufuata au unakuja ofisini
findi=fundi?
Ili kupata fundi mzuri ni vyema kueleza tatizo lako hapa ili fundi ajipime mwenywe ikiwa analimudu tatizo hilo au hana uwezo nalo.
Tatizo ni kwamba: nikiiswitch on inawaka vizuri kwa kama sekunde tano hivi, inadisplay ile msg ya starting window, baada ya hapo inakuja blank/black screen ina kamstali kana blink. Haiendelei mbele
Habari wana JF, natafuta mtaalamu wa kutengeneza laptop yangu ya Toshiba. Awe anapatikana Arusha, mwenye utaalamu ani pm
Habari wana JF, natafuta mtaalamu wa kutengeneza laptop yangu ya Toshiba. Awe anapatikana Arusha, mwenye utaalamu ani pm
Tatizo ni wewe mwenyewe wala si laptop, kama fundi unaita findi? Tatizo ni wewe!
0784234391 expert computer technician