Nahitaji engine manual na gearbox yake

cheguevara

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2012
Posts
1,348
Reaction score
653
Salaam wadau nahitaji engine manual ya rav 4 fourwheel na gearbox yake pamoja na controlbox yake,mwenye navyotuwasiliane ati
 
Ukikosa humu nenda Ilala kwenye maduka ya Spea za magari.

Kila la heri.
 
Yes my love.
Naona ulivyoamua kumpiga kibuti Bwana mdogo, na mimi baba yake ukanipa kibuti pia.

hahahaaaaa kabwana kadogo kale bado kanapaswa kulelewa kwako maana mie kananisumbua tu.
 
Nauza Kiwanja Kivule njiapabda ya shule7 ml nichek 0779 545500
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…