Nina muda sijaenda gym, sababu kubwa ni kubanwa na kazi. Unarudi jioni na umechoka, then unapotezea kuja kustuka unajikuta umekata wiki.
LAKINI ukiwa na vifaa kadhaa portable hapo home, unajipigia zako mdogo mdogo.
Nami nahitaji, mwenye details za wanapouza vifaa hivi aweke hapa..!