Gustavo Gaviria
JF-Expert Member
- Nov 19, 2018
- 633
- 1,119
Nunua onlineWakuu nahitaji kioo cha simu tajwa hapo juu, mwenye kuweza kunisaidia nitakipata maeneo gani au mwenye nacho, tafadhali naomba nijulishe.
Ilivyo ndio imedondoka na kuharibika kioo hakioneshi kabisa...View attachment 1351659
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi ulikuwa unaamulia ugomvi au?
Nenda kwa samsung care pale JMo pake posta ukapate kioo orignal cha simu yako. Usiweke vya mitaani utajuta ndugu mafeki yamejaa sanaaWakuu nahitaji kioo cha simu tajwa hapo juu, mwenye kuweza kunisaidia nitakipata maeneo gani au mwenye nacho, tafadhali naomba nijulishe.
Ilivyo ndio imedondoka na kuharibika kioo hakioneshi kabisa.
View attachment 1351659
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi ulishapata, mi ninachoDone