Nahitaji display ya laptop

serio

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2011
Posts
7,354
Reaction score
4,771
Habari wakuu

Nahitaji kioo (dispay) cha laptop size 17.3" mkanda mdogo... laptop ni acer.

Nimezunguka kariakoo kukitafuta mpaka viatu vimechakaa..

Mwenye nacho iwe Dar au Dodoma, naomba anitaarifu kwa PM..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nina acer 7750G 17.3" kioo kizima...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…