CYBERTEQ
JF-Expert Member
- Feb 11, 2012
- 7,341
- 4,076
Mods mniwie radhi kwa kupost hii hapa, imekaa ki-technical, hivyo nina imani hapa itakutana na wahusika, kule kwenye matangazo madogomadogo nimejaribu bila mafanikio.
Nahitaji parts hizo hapo juu, ziwe mpya au used lakini zisiwe na defect, kama unayo unaweza kuniinbox, au ukanisms kwa 0764198719, ASAP
Heshima mbele wakuu.
Nahitaji parts hizo hapo juu, ziwe mpya au used lakini zisiwe na defect, kama unayo unaweza kuniinbox, au ukanisms kwa 0764198719, ASAP
Heshima mbele wakuu.