mahirtwahir JF-Expert Member Joined Jan 12, 2013 Posts 614 Reaction score 322 Dec 9, 2019 #1 Nahitaji Diagnosis ya kucheki matatizo ya gari japo used kwa aliokua nayo ama anweza kunisaidia upatikanaji wake anijulishe bei itaendana na aina ya mashine iliopatikana Asante.
Nahitaji Diagnosis ya kucheki matatizo ya gari japo used kwa aliokua nayo ama anweza kunisaidia upatikanaji wake anijulishe bei itaendana na aina ya mashine iliopatikana Asante.
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 61,404 Reaction score 100,603 Dec 9, 2019 #2 Ndio kama Hii? Hio Sprinter nilijaribu kuingiza Mimi