We uko wapi kwani PC ziko twangoma kituo cha sako. Kama uko tayari nambie kesho nizitayarishe ziwe sawa k.kutwa uje kufata mzigo. Kkama uko tayari toa namba yako ya s
We uko wapi kwani PC ziko twangoma kituo cha sako. Kama uko tayari nambie kesho nizitayarishe ziwe sawa k.kutwa uje kufata mzigo. Kkama uko tayari toa namba yako ya simu
MKUU ULISEMA JANA UTANITUMIA PICHA LEO ILA NAONA KIMYA