Kama heading inavyojieleza ,Nahitaji desktop ikiwa complete .display 17 inc,RAM Kuanzia 2GB na HDD YA 320 Bajeti yangu ni 300,000/=Iwe katika hali nzuri ,mwenye navyo awe mwanza kwa aliye siriasi anitafute kwa 0626381527 NB;Juni 11 takuwa mwanza miniko simiyu