Nahitaji dagaa Kwa bei ya jumla

Nahitaji dagaa Kwa bei ya jumla

Mavindozii

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2012
Posts
2,110
Reaction score
2,786
Hello Gentleman and Ladies,
Ninahitaji dagaa Kwa bei ya jumla ,nahitaji anzia gunia 200 wawe wa kigoma ,mwanza Au Zanzibar ,gunia zinakaa kg ngapi ,AU WAKUSHATOLEWA ZIWANI WAKIWA WABICHI BEI YAKE NGAPI KWA KG ,
I HOPE TO HEAR FROM YOU GUYS,
 
Naweza kukupatia dagaa wa baharini,ila hawauzwi kwa gunia.Wanauzwa kwa kg,cont:0713963812
 
Hello Gentleman and Ladies,
Ninahitaji dagaa Kwa bei ya jumla ,nahitaji anzia gunia 200 wawe wa kigoma ,mwanza Au Zanzibar ,gunia zinakaa kg ngapi ,AU WAKUSHATOLEWA ZIWANI WAKIWA WABICHI BEI YAKE NGAPI KWA KG ,
I HOPE TO HEAR FROM YOU GUYS,
Unataka pure au wale wenye mchanga kidogo
 
Tuwasiliane mkuu, Ni pm namba yako mi Ni wakala wa trading org ya kusambaza dagaa.. Nilianza kama retailer na sasa ni Wakala, Dagaa ni wa mwanza na Musoma, karibu sana.
 
Hello Gentleman and Ladies,
Ninahitaji dagaa Kwa bei ya jumla ,nahitaji anzia gunia 200 wawe wa kigoma ,mwanza Au Zanzibar ,gunia zinakaa kg ngapi ,AU WAKUSHATOLEWA ZIWANI WAKIWA WABICHI BEI YAKE NGAPI KWA KG ,
I HOPE TO HEAR FROM YOU GUYS,
Unataka Dagaa wa kiwango cha gunia halafu unahtaji muuzaji ndiyo akwambie ujazo wa Gunia au wewe mnunuzi ndiyo ulipashwa kuweka vigezo na ubra wa dagaa unaowahitaji???? Ngoja waje wakujibu
 
Hello Gentleman and Ladies,
Ninahitaji dagaa Kwa bei ya jumla ,nahitaji anzia gunia 200 wawe wa kigoma ,mwanza Au Zanzibar ,gunia zinakaa kg ngapi ,AU WAKUSHATOLEWA ZIWANI WAKIWA WABICHI BEI YAKE NGAPI KWA KG ,
I HOPE TO HEAR FROM YOU GUYS,
niko tayari,tuanze lini?
 
Hello Gentleman and Ladies,
Ninahitaji dagaa Kwa bei ya jumla ,nahitaji anzia gunia 200 wawe wa kigoma ,mwanza Au Zanzibar ,gunia zinakaa kg ngapi ,AU WAKUSHATOLEWA ZIWANI WAKIWA WABICHI BEI YAKE NGAPI KWA KG ,
I HOPE TO HEAR FROM YOU GUYS,
Habari yako vipi mkuu bado unahitaji dagaa???
 
Back
Top Bottom