kuna corolla 111 milion 3.5 manual.. haina shida. njoo na fundi wako akague
Yaan mim mwenyewe najiuliza hiyo Gari ya Ipilimo ina matatizo gani? Ama ina ubovu ambao humu jukwaan hatak kuusema ndo maana Gari ina muda mrefu! Tueleze ukweli ipilimo hiyo Gari haina tatizo? Na je unakubali malipo ya installment?Hiyo Mitsubishi lancer bora uichinje naona imegoma kuuzika..
Unakubal malipo ya installment Na je bei inapungua?Hapa mbeya pia IPO Mitsubishi lancer.... 1999 Auto ....anaye hitaji nipm tutete...ni sh 3.5
Yaan mim mwenyewe najiuliza hiyo Gari ya Ipilimo ina matatizo gani? Ama ina ubovu ambao humu jukwaan hatak kuusema ndo maana Gari ina muda mrefu! Tueleze ukweli ipilimo hiyo Gari haina tatizo? Na je unakubali malipo ya installment?
Unakubal malipo ya installment Na je bei inapungua?