Loveeness78
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 280
- 294
Habari zenu wakuu.
Naombeni kujua bei ya conteina la futi 40 kwa hapa Dar. Kama kuna mtu analo au anamjua mtu yeyote Mwenye nalo na anauza naomba nisaidiwe kupata namna ya mawasiliano ili niweza kununua.
Natanguliza shukrani.