Nahitaji container 40ft

Nahitaji container 40ft

fogoh2

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2017
Posts
5,896
Reaction score
6,071
Nahitaji container mbili za 40ft pesa ninayo cash .njoo na ofa yako
NB.nahitaji leo 9/5 /2019
 
Ukumbuke kwenda kuliangalia shiping line lisije kukusumbuwa.
 
MBONA HAMTAJI BEI
SEMENI MNA SHILING NGAPI NIWA PM KAMA ITAFAA

1092519
 
Nenda Mediterranien shipping line MSC Kurasini wanaziuza, pale ukinunua hutakuwa na shaka yakuwa limeibiwa wapi.
 
Nenda Mediterranien shipping line MSC Kurasini wanaziuza, pale ukinunua hutakuwa na shaka yakuwa limeibiwa wapi.
Ataweza bei sasa
Wakati humu watu wanatafuta kontena la mseleleko

Ova
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom