na mwenye kimeza pia chakuwekea computer ni kwaajiri ya kuiingiza nyimbo na shughuli zingine na ndo maana naitaji hiyo computer aina ya hp desktop kwa laki mbili pia kwa mwenye kimeza tutaelewana.
Ipo HP pentium(R) D CPU 3.40GHz,
RAM 1.23gb,HARD DISK 580gb,Samsung DVD writable
Ina nyimbo za aina zote mpya na za zamani video na audio pia program za kumwaga
Ipo kwenye hali nzuri sana anaehitaji anicheki
0656899091