N Nevergive up JF-Expert Member Joined Dec 24, 2024 Posts 371 Reaction score 569 Mar 2, 2026 #1 Wakuu mwenye gar aina ya coster nahitaji 10 za kukodisha kwa siku 150000/
Mr Slim JF-Expert Member Joined Sep 11, 2018 Posts 2,905 Reaction score 5,765 Mar 2, 2026 #2 Siku zote hizo?
Fund man JF-Expert Member Joined Feb 24, 2021 Posts 4,183 Reaction score 5,609 Mar 2, 2026 #3 Sawa mjasiliamali
Dr Matola PhD Platinum Member Joined Oct 18, 2010 Posts 61,430 Reaction score 108,589 Mar 2, 2026 #4 jamesemm said: Wakuu mwenye gar aina ya coster nahitaji 10 za kukodisha kwa siku 150000/ Click to expand... Unapohitaji kitu taja na mkoa ulipo, Coaster kutoka Dar kwenda mikoani unajuwa bei yake?
jamesemm said: Wakuu mwenye gar aina ya coster nahitaji 10 za kukodisha kwa siku 150000/ Click to expand... Unapohitaji kitu taja na mkoa ulipo, Coaster kutoka Dar kwenda mikoani unajuwa bei yake?
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 59,182 Reaction score 69,695 Mar 2, 2026 #5 Dr Matola PhD said: Unapohitaji kitu taja na mkoa ulipo, Coaster kutoka Dar kwenda mikoani unajuwa bei yake? Click to expand... Nakazia
Dr Matola PhD said: Unapohitaji kitu taja na mkoa ulipo, Coaster kutoka Dar kwenda mikoani unajuwa bei yake? Click to expand... Nakazia
The Worst JF-Expert Member Joined Sep 12, 2021 Posts 7,842 Reaction score 25,748 Mar 2, 2026 #6 jamesemm said: Wakuu mwenye gar aina ya coster nahitaji 10 za kukodisha kwa siku 150000/ Click to expand... Coaster za kukodisha kwa siku 150,000/= hujasema za kazi gani zitaenda wapi na wapi au kufanyia shughuli gani! Kumbuka hiyo 150,000/= gari ikiingia sheli haijazi tank.
jamesemm said: Wakuu mwenye gar aina ya coster nahitaji 10 za kukodisha kwa siku 150000/ Click to expand... Coaster za kukodisha kwa siku 150,000/= hujasema za kazi gani zitaenda wapi na wapi au kufanyia shughuli gani! Kumbuka hiyo 150,000/= gari ikiingia sheli haijazi tank.
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 59,182 Reaction score 69,695 Mar 2, 2026 #7 The Worst said: Coaster za kukodisha kwa siku 150,000/= hujasema za kazi gani zitaenda wapi na wapi au kufanyia shughuli gani! Kumbuka hiyo 150,000/= gari ikiingia sheli haijazi tank. Click to expand... Tshs 150000/= Unapata Lita 55 Diesel
The Worst said: Coaster za kukodisha kwa siku 150,000/= hujasema za kazi gani zitaenda wapi na wapi au kufanyia shughuli gani! Kumbuka hiyo 150,000/= gari ikiingia sheli haijazi tank. Click to expand... Tshs 150000/= Unapata Lita 55 Diesel
and 998 others JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 27,921 Reaction score 39,114 Mar 2, 2026 #8 jamesemm said: Wakuu mwenye gar aina ya coster nahitaji 10 za kukodisha kwa siku 150000/ Click to expand... Pengo Makeke kazini. Mnataka mkaibe spea?
jamesemm said: Wakuu mwenye gar aina ya coster nahitaji 10 za kukodisha kwa siku 150000/ Click to expand... Pengo Makeke kazini. Mnataka mkaibe spea?
Dr Matola PhD Platinum Member Joined Oct 18, 2010 Posts 61,430 Reaction score 108,589 Mar 2, 2026 #9 jamesemm said: Wakuu mwenye gar aina ya coster nahitaji 10 za kukodisha kwa siku 150000/ Click to expand...
jamesemm said: Wakuu mwenye gar aina ya coster nahitaji 10 za kukodisha kwa siku 150000/ Click to expand...
VERBOSE JF-Expert Member Joined Sep 12, 2022 Posts 8,846 Reaction score 13,929 Mar 2, 2026 #10 and 998 others said: Pengo Makeke kazini. Mnataka mkaibe spea? Click to expand... Kusafirishia specimens za Jeffrey Epsten kwenda Kisiwa cha Mnemba
and 998 others said: Pengo Makeke kazini. Mnataka mkaibe spea? Click to expand... Kusafirishia specimens za Jeffrey Epsten kwenda Kisiwa cha Mnemba
N Nevergive up JF-Expert Member Joined Dec 24, 2024 Posts 371 Reaction score 569 Mar 2, 2026 Thread starter #11 Mr Slim said: Siku zote hizo? Click to expand... Ndio kama miezi 6 nakuendelea
N Nevergive up JF-Expert Member Joined Dec 24, 2024 Posts 371 Reaction score 569 Mar 2, 2026 Thread starter #12 The Worst said: Coaster za kukodisha kwa siku 150,000/= hujasema za kazi gani zitaenda wapi na wapi au kufanyia shughuli gani! Kumbuka hiyo 150,000/= gari ikiingia sheli haijazi tank. Click to expand... Mafuta ni juu yetu sisi
The Worst said: Coaster za kukodisha kwa siku 150,000/= hujasema za kazi gani zitaenda wapi na wapi au kufanyia shughuli gani! Kumbuka hiyo 150,000/= gari ikiingia sheli haijazi tank. Click to expand... Mafuta ni juu yetu sisi
Seran JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 12,037 Reaction score 35,691 Mar 2, 2026 #13 and 998 others said: Pengo Makeke kazini. Mnataka mkaibe spea? Click to expand... Kanini haka😂
D DALALI MKUU JF-Expert Member Joined May 7, 2022 Posts 2,440 Reaction score 5,750 Mar 2, 2026 #14 Tangazo lako lipo Kiujumla sana edit weka unataka zikafanye kazi gani, mkoa gani, sku ngapi, nk. Gari mara nyingi bei inaendana na kazi unayoenda kufanyia na eneo pia.
Tangazo lako lipo Kiujumla sana edit weka unataka zikafanye kazi gani, mkoa gani, sku ngapi, nk. Gari mara nyingi bei inaendana na kazi unayoenda kufanyia na eneo pia.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 167,155 Reaction score 185,436 Mar 2, 2026 #15 Ngoja waje... Cc: Mahondaw
Lizo mkristu JF-Expert Member Joined Oct 31, 2019 Posts 351 Reaction score 734 Mar 2, 2026 #16 Mleta maada nae ni winga tu kama mawinga wengine sema yeye ni machachali na sio hatar