vannistelrooy
JF-Expert Member
- Jan 31, 2017
- 318
- 657
Wadau naomba kuuliza naweza kupata wapi chupa special za 500ml na 1lita kwa ajili ya packaging ya sabuni..ningependa kujua na bei yake
Shukran sana mkuu ngoja nifanye hivyoNenda sido mkuu,bei utajua huko huko.
Wadau naomba kuuliza naweza kupata wapi chupa special za 500ml na 1lita kwa ajili ya packaging ya sabuni..ningependa kujua na bei yakeView attachment 769665
Shukran sana mkuu ngoja nianzie huko k.kooZinapatikana Kariakoo kati ya mtaa wa Tandamti / Sikukuu na Tandamti/ Livingstone.