Wazo Langu JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 1,381 Reaction score 842 Apr 3, 2015 #1 Iwe kuanzia maeneo ya Mivinjeni hadi ufundi. Kiwe kimoja au viwili ila kinachojitegemea yani sio choo cha kuchangia. Kodi isizidi 100,000 kwa mwezi. kama kipo tuwasiliane. Usinipm kama hakina sifa mojawapo kati ya hizo.
Iwe kuanzia maeneo ya Mivinjeni hadi ufundi. Kiwe kimoja au viwili ila kinachojitegemea yani sio choo cha kuchangia. Kodi isizidi 100,000 kwa mwezi. kama kipo tuwasiliane. Usinipm kama hakina sifa mojawapo kati ya hizo.