Nahitaji chumba, single self Njiro, Arusha

miss naire

JF-Expert Member
Oct 31, 2016
237
228
nahitaji chumba kimoja na choo ndani , single self maeneo ya njiro arusha, bei iwe ni kati ya elfu 50 mpaka laki moja, mwenye kufahamu nijulishe
 
nahitaji chumba kimoja na choo ndani , single self maeneo ya njiro arusha, bei iwe ni kati ya elfu 50 mpaka laki moja, mwenye kufahamu nijulishe

njoo nikupe changu..but ni 150k..
hii bei yako ya 50k_100k labda njiro kwa Lema au kwa Msola respectively
 
njoo nikupe changu..but ni 150k..
hii bei yako ya 50k_100k labda njiro kwa Lema au kwa Msola respectively
hata kama ni kwa msola poa tu, maananafanya kazi njiro hvyo usafir utakuwa gari moja tofauti na ninapo kaa kwa sasa napanda magari mawili
 
Back
Top Bottom