Nahitaji chumba kimoja chenye choo ndani.
Kiwe kikubwa kina tiles, gypsum, rangi nzuri .
Kiwe na Umeme, maji yawepo.
Kiwe maeneo Kati ya haha
Mwenge, sinza, Mwananyamala ila iwe karibu na barabara kuu, Makumbusho karibu na barabara, Ubungo.
Bei isizidi laki moja kwa mwezi.