Nahitaji chumba cha kupangisha maeneo yafuatayo hapa Dar, budget 100,000\=

lamar69

Member
Jan 13, 2018
42
20
Nahitaji chumba cha kupangisha maeneo ya Magomeni,Morroco,Upanga,Kinondoni,Mikocheni,
Kiwe ni master.

Mawasiliano :0752156818
 
Mkuu mambo vipi kama unaweza kuishi kinyerezi kuna chumba ninacho kikubwa tu kina nafasi nzuri tuwasiliane na ni eneozuri sana kuishi.
 
Kinyerezi sehemu gani,Pia kina specification gani?
mtaa wa kanga kama umeshawahi kufika ni chumba kikubwa ambacho ukihitaji unaweza ukaweka na partition ukapata vyumba viwili na sebure unaiweka katikati ila choo cha nje pako juu hakuna mafuriko wala buguza yoyote kina tiles chini juu kina gypsum nzuri tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom