Nahitaji chumba cha kupanga morogoro mjini

Jeff

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2009
Posts
1,293
Reaction score
202
Habarini wana JF,
Natafuta chumba cha kupanga morogoro mjini, hasa maeneo ya misufini, k/ndege,mawezzni,bigwa itakuwa poa zaidi, kihonda isiwe kupita maghorofani, kiwe na umeme na maji, kikiwa self itakuwa poa zaidi,naomba niPM tafadhali ili tuwasiliane zaidi
 
Asilimia kubwa ya nyumba za morogoro zina maji,by the way mtafute huyu anaweza kukusaidia:0656 690 132-Dotto.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom