Nahitaji chumba cha kupanga maeneo ya Mbezi beach

Nahitaji chumba cha kupanga maeneo ya Mbezi beach

Ginner

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2011
Posts
1,576
Reaction score
2,218
Husika na kichwa cha habari, nahitaji chumba cha kupanga maeneo ya mbezi beach, kiwe standard na mahitaji muhimu yawepo. 0755815174
 
Budget yako inarrange sh ngapi?

Wewe ni dalali? Nataka umtafutie ndugu yangu nyumba ya vyumba viwili(master kimoj),sebule,public toilet,jiko,iwe na gypsum,tiles,maji ya dawasco,fense bajeti laki 2 pm.
 
Wewe ni dalali? Nataka umtafutie ndugu yangu nyumba ya vyumba viwili(master kimoj),sebule,public toilet,jiko,iwe na gypsum,tiles,maji ya dawasco,fense bajeti laki 2 pm.
Ginner naona umepata msemaji mkuu
 
Last edited by a moderator:
Budget yako inarrange sh ngapi?

hehehehe.....naona mheshimiwa nae anashida kama ya kwangu. nimeandika namba yangu ya simu kiongozi tunaweza tukazungumza zaidi kwa namba iyo..naomba unitext namba yako tafadhali
 
Kipo laki na nusu kizuri sana kikubwa mno gypsum ndani tiles0767507487.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom