Nahitaji chumba cha kupanga Dar

Nahitaji chumba cha kupanga Dar

toplemon

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Posts
4,607
Reaction score
4,766
Wakuu nahitaji chumba. Anayepangisha vyumba maeneo haya tafadhali naomba tuwasiliane.

Au hata:
-Anayejua chumba maeneo ya Mabibo hostel, Sinza, Changanyikeni,Survey,Makongo juu,Ubungo External, Mwenge na River Side. Budget yangu ni 30k au 40k au 50k kwa mwezi.

Ningepata penye wapangaji wasiozidi wanne ningefurahi pia. Ndo naanza maisha mwenzenu.

Nicheki kwa namba: 0759 432 654 SMS, WhatsApp pia

Natanguliza shukurani

wp-NAHITAJI-CHUMBA-MAENEO-YA-MABIBO-HOSTEL-_1572257271.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom