Nahitaji chumba cha kupanga buguruni

Nahitaji chumba cha kupanga buguruni

kdany

Senior Member
Joined
Jul 20, 2012
Posts
149
Reaction score
25
wakuu habari,natafuta chumba cha kupanga buguruni,kiwe kizuri,seling board safi,kisiwe kina vuja,kiwe ndan ya fens,usalama uwepo,in short kiwe cha kisasa cha kukaa mtu mstarabu,piga hz no.#0719477815
 
buguruni aaaanh!?...utapasuka mzee hata kama nyumba ina mlinzi na bunduki,.. Mtaani je!? (pigwa kabali nzitoo)...sogeasogea hata mitaa ya ilala(kuanzia bungoni)
 
buguruni aaaanh!?...utapasuka mzee hata kama nyumba ina mlinzi na bunduki,.. Mtaani je!? (pigwa kabali nzitoo)...sogeasogea hata mitaa ya ilala(kuanzia bungoni)
Uzuri wa huko hata kwa alfu mbili unaweza kupata Chumba, Sebule, Jiko, Choo, Bafu kwa mwezi!!
 
buguruni aaaanh!?...utapasuka mzee hata kama nyumba ina mlinzi na bunduki,.. Mtaani je!? (pigwa kabali nzitoo)...sogeasogea hata mitaa ya ilala(kuanzia bungoni)
Huenda anataka kuwa karibu na soko kuu la pale Kimboka au Sewa bana,hata ningepewa apartment buure huko Buguruni sikai
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom