Uu Bado upo tufanye kaziKama hukufanikiwa mpaka sasa nicheck inbox nitakufanyia application na sehemu yakukipokelea haswa ofisi za Rita zilizopo wilayani au mkoa husika aliyopo huyo mhusika wako , atalipia pesa kupitia control number , na cheti kikiwa tayari nijukumu lako kufuata .
Mbona mambo ni rahisi RITA portal
Mimi nilitumia simu mpaka kikatengeenezwa nikaenda ofisi zao kuchukuaMinimeshindwa kwakutumia simu mkuu labda nipe mwongozo
Tengeneza account,nenda kwenye birth,kama kipya ni new,kama unabadilisha inakuwa old to new,then utajaza details zao zote,watahitaji attachments kama kadi ya mpiga kura,NIDA,Leaving certificate etc.....Minimeshindwa kwakutumia simu mkuu labda nipe mwongozo
Shukrani Kwa hili mkuuTengeneza account,nenda kwenye birth,kama kipya ni new,kama unabadilisha inakuwa old to new,then utajaza details zao zote,watahitaji attachments kama kadi ya mpiga kura,NIDA,Leaving certificate etc.....
Utapewa control no. Utaenda kulipia then mambo yanaendelea mpaka cheti kinakuwa issued
Nahitaji mtu ambaye anaweza kunisaidia kupata cheti changu cha kuzaliwa harafu akanitumia haraka iwezekanavyo. Scammers usipoteze muda wako, malipo yatafanika face to face na mtu wangu ambaye yupo bongo.
Nahitaji mtu mwenye uzowefu na anajua kitachotakiwa kufanyika. Kwa bahati mbaya niliondoka miaka mingi iliyopita na sikukumbuka kutafuta cheti changu cha kuzaliwa.
Kama unamjua mtu, ofisi , ambayo wanaweza kunisaidia Tafadhari wasiliana nami. Najua kuhusu RITA tatizo ni kuwa nipo ughabuni na sikuwahi kujiandikisha.
ahsanteni sana.
* To ADMIN, I hope this is the right place for my post, but if am wrong then please guide me to the right forum, It is not my intension to post in a wron