Agenda1 JF-Expert Member Joined Aug 11, 2017 Posts 1,692 Reaction score 3,420 Mar 18, 2018 #1 Wadau nahitaji cherehani ya kushona nguo kwa ajili ya kuunga mkono juhudi na kutekeleza sara ya awamu hii tulionayo. Nina upungufu wa cherehani 1 ili kukamilisha kiwanda changu kipya. Basi alienayo asisite kunifuata pm kwa mazungumzo. Asanteni
Wadau nahitaji cherehani ya kushona nguo kwa ajili ya kuunga mkono juhudi na kutekeleza sara ya awamu hii tulionayo. Nina upungufu wa cherehani 1 ili kukamilisha kiwanda changu kipya. Basi alienayo asisite kunifuata pm kwa mazungumzo. Asanteni
jimmyfoxxgongo JF-Expert Member Joined Jan 23, 2013 Posts 5,352 Reaction score 9,368 Mar 18, 2018 #2 Kwa hiyo mpaka sasa unazo tatu hongera sana