Niccolo Machiavelli JF-Expert Member Joined Feb 7, 2017 Posts 1,881 Reaction score 3,657 Apr 10, 2017 #1 Wakuu.....anaejua maeneo naeza pata...nisaidieni!
Evelyn Salt Platinum Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,771 Reaction score 167,975 Apr 10, 2017 #2 Mi naomba kuuliza wanapatikana wapi kasuku na wanauzwaje nawapenda
Steven Nguma JF-Expert Member Joined Dec 6, 2016 Posts 1,074 Reaction score 1,148 Apr 10, 2017 #3 Day break pet shop. Njia ya kwenda tandale shuka kituo cha kwa bibi nyau kama sija kosea utapata chakula cha kasuku na mbwa pia.
Day break pet shop. Njia ya kwenda tandale shuka kituo cha kwa bibi nyau kama sija kosea utapata chakula cha kasuku na mbwa pia.
Steven Nguma JF-Expert Member Joined Dec 6, 2016 Posts 1,074 Reaction score 1,148 Apr 10, 2017 #4 Evelyn Salt said: Mi naomba kuuliza watapatikana wapi kasuku na wanauzwaje nawapenda Click to expand... Kasuku huwa wanaagizwa toka congo mara ya mwisho walikuwa sh laki 3
Evelyn Salt said: Mi naomba kuuliza watapatikana wapi kasuku na wanauzwaje nawapenda Click to expand... Kasuku huwa wanaagizwa toka congo mara ya mwisho walikuwa sh laki 3