Kuna watu hawapo serious mkuu. Yani 3.5T umlipe mtu 500K kwa mwezi duuuh.Ongeza dau boss hiyo hela ni ndogo sana hautopata Canter ,yaani 3.5T kwa 500k inamaana unamlipa mwenye gari yake 17,000/= kwa siku si hesabu ya bodaboda hiyo?
1.8M kwa mwezi angalau mtu anaweza shawishika.