NEXTLEVEL
JF-Expert Member
- Jan 19, 2012
- 857
- 396
Wadau kama heading inavyojieleza nahitaji kukodi Camera mojawapo ya hizo kwa siku 4 au 5, najua security ya Camera ni muhimu hivyo niko tayari kumtumia Cameraman wako cha msingi awe na uzoefu plus uwezo mzuri wa kushoot Bongo movie. Nitaihitaji kuanzia tarehe 26 Sept 2013.
Bei kwa siku uniPM pia gharama ya Cameraman per day.
Bei kwa siku uniPM pia gharama ya Cameraman per day.