Oluwa ni JF-Expert Member Joined May 24, 2015 Posts 717 Reaction score 446 Mar 8, 2017 #1 Wakuu habari zenu..... Poleni sana na majukumu.... Nahitaji camera aina ya canon au nikon Condition 1. Iwe used au mpya 2. Iwe katika hali nzuri 4. Iwe complete kuanzia betri, charger, lens 3. Bajeti yangu ni 400k Ambaye anayo aje PM
Wakuu habari zenu..... Poleni sana na majukumu.... Nahitaji camera aina ya canon au nikon Condition 1. Iwe used au mpya 2. Iwe katika hali nzuri 4. Iwe complete kuanzia betri, charger, lens 3. Bajeti yangu ni 400k Ambaye anayo aje PM
SON2016 Member Joined Jan 3, 2016 Posts 64 Reaction score 37 Mar 8, 2017 #2 Ipo canon D700 kwa 1milion na laki 2. lens+memory+tripod+bag+2battery+charge+external wireless mic.
P Plan Of Action JF-Expert Member Joined Jul 19, 2016 Posts 462 Reaction score 382 Mar 8, 2017 #3 Elinizor said: Wakuu habari zenu..... Poleni sana na majukumu.... Nahitaji camera aina ya canon au nikon Condition 1. Iwe used au mpya 2. Iwe katika hali nzuri 4. Iwe complete kuanzia betri, charger, lens 3. Bajeti yangu ni 400k Ambaye anayo aje PM Click to expand... mkuu laki 4 utasumbuka sana kupata hio kitu kwa wakati ongeza bajeti mpaka mil 1.2 hivi kisha mtafute SON2016
Elinizor said: Wakuu habari zenu..... Poleni sana na majukumu.... Nahitaji camera aina ya canon au nikon Condition 1. Iwe used au mpya 2. Iwe katika hali nzuri 4. Iwe complete kuanzia betri, charger, lens 3. Bajeti yangu ni 400k Ambaye anayo aje PM Click to expand... mkuu laki 4 utasumbuka sana kupata hio kitu kwa wakati ongeza bajeti mpaka mil 1.2 hivi kisha mtafute SON2016
Oluwa ni JF-Expert Member Joined May 24, 2015 Posts 717 Reaction score 446 Mar 8, 2017 Thread starter #4 Mr Bean Jr said: mkuu laki 4 utasumbuka sana kupata hio kitu kwa wakati ongeza bajeti mpaka mil 1.2 hivi kisha mtafute SON2016 Click to expand... Ntaipata maana sina haraka
Mr Bean Jr said: mkuu laki 4 utasumbuka sana kupata hio kitu kwa wakati ongeza bajeti mpaka mil 1.2 hivi kisha mtafute SON2016 Click to expand... Ntaipata maana sina haraka
Oluwa ni JF-Expert Member Joined May 24, 2015 Posts 717 Reaction score 446 Mar 8, 2017 Thread starter #5 SON2016 said: Ipo canon D700 kwa 1milion na laki 2. lens+memory+tripod+bag+2battery+charge+external wireless mic. Click to expand... Sawa
SON2016 said: Ipo canon D700 kwa 1milion na laki 2. lens+memory+tripod+bag+2battery+charge+external wireless mic. Click to expand... Sawa
Tajirimsomi JF-Expert Member Joined Jan 12, 2017 Posts 4,824 Reaction score 5,605 Mar 8, 2017 #6 Laki nne? Laba jaribu kupitia kupatana. Com unaweza bahatisha ila budget yako ni kidogo sana mkuu
BAKOI JF-Expert Member Joined Jan 31, 2016 Posts 1,211 Reaction score 2,330 Mar 8, 2017 #7 Elinizor said: Wakuu habari zenu..... Poleni sana na majukumu.... Nahitaji camera aina ya canon au nikon Condition 1. Iwe used au mpya 2. Iwe katika hali nzuri 4. Iwe complete kuanzia betri, charger, lens 3. Bajeti yangu ni 400k Ambaye anayo aje PM Click to expand... Ninayo ila haina charge halafu n fixed lens bei 350k
Elinizor said: Wakuu habari zenu..... Poleni sana na majukumu.... Nahitaji camera aina ya canon au nikon Condition 1. Iwe used au mpya 2. Iwe katika hali nzuri 4. Iwe complete kuanzia betri, charger, lens 3. Bajeti yangu ni 400k Ambaye anayo aje PM Click to expand... Ninayo ila haina charge halafu n fixed lens bei 350k
K Kiduku starlet JF-Expert Member Joined Feb 14, 2017 Posts 272 Reaction score 185 Mar 8, 2017 #8 huyo jamaa ahitaji camera , acha mbwe mbwe zisizokuwa na mmpango
Oluwa ni JF-Expert Member Joined May 24, 2015 Posts 717 Reaction score 446 Mar 8, 2017 Thread starter #9 Kiduku starlet said: huyo jamaa ahitaji camera , acha mbwe mbwe zisizokuwa na mmpango Click to expand... Kwaiyo nahtaji nn, puuzi ww
Kiduku starlet said: huyo jamaa ahitaji camera , acha mbwe mbwe zisizokuwa na mmpango Click to expand... Kwaiyo nahtaji nn, puuzi ww
Oluwa ni JF-Expert Member Joined May 24, 2015 Posts 717 Reaction score 446 Mar 8, 2017 Thread starter #10 BAKOI said: Ninayo ila haina charge halafu n fixed lens bei 350k Click to expand... Njoo pm mkuu
S salome peter JF-Expert Member Joined Nov 26, 2016 Posts 379 Reaction score 269 Mar 8, 2017 #11 Ninayo nipe laki 8 tu
lucley JF-Expert Member Joined Jun 15, 2016 Posts 729 Reaction score 1,999 Mar 8, 2017 #12 salome peter said: Ninayo nipe laki 8 tu Click to expand... Nikon au canon?. Kama ni nikon nahitaji lens yake ila iwe ni 200mm na kuendelea.
salome peter said: Ninayo nipe laki 8 tu Click to expand... Nikon au canon?. Kama ni nikon nahitaji lens yake ila iwe ni 200mm na kuendelea.
S salome peter JF-Expert Member Joined Nov 26, 2016 Posts 379 Reaction score 269 Mar 8, 2017 #13 Nipe namba ya WhatsApp ili nipige picha nikutumie
K Kiduku starlet JF-Expert Member Joined Feb 14, 2017 Posts 272 Reaction score 185 Mar 10, 2017 #14 Elinizor said: Kwaiyo nahtaji nn, puuzi ww Click to expand... kanunue viroba m,,puuzi wewe
BAKOI JF-Expert Member Joined Jan 31, 2016 Posts 1,211 Reaction score 2,330 Mar 10, 2017 #15 Weka namba yako mkuu watu watakupigia
Oluwa ni JF-Expert Member Joined May 24, 2015 Posts 717 Reaction score 446 Mar 11, 2017 Thread starter #16 Kiduku starlet said: kanunue viroba m,,puuzi wewe Click to expand... Tayari nimeona lin umeingia jf kwahyo hunisumbui
Kiduku starlet said: kanunue viroba m,,puuzi wewe Click to expand... Tayari nimeona lin umeingia jf kwahyo hunisumbui
Oluwa ni JF-Expert Member Joined May 24, 2015 Posts 717 Reaction score 446 Mar 11, 2017 Thread starter #17 BAKOI said: Weka namba yako mkuu watu watakupigia Click to expand... Waje tu pm ntawapa namba