Hapa chekiana na ndugu zako , jamaa , marafiki zako wanaokufahamu from grassroot, ama ingia bank Kama business idea yako ni nzuri utapata mkopo. Afrika hatuna like angel investor, ambayo inatoa mitaji kwa watu wenye idea Ila hawana pesa. Hata jamaa wa TALA ameshapata capital like $15M tayAri kwa kuanza kazi am sure.
Hela inapatikana kwa damu, machozi, jasho, maumivu, yaani mtu inakubidi kutembea juu ya miiba, moto, misumari ukaichukue Sasa we unaiomba hela iyo kirahisi ivyo ndugu yangu.
Piga vibarua hata vya kulima utapata 2M hata kwa mwaka mmoja ama miwili.
Ila usitegemee kupewa hela huku huna warrantee ya hizo hela labda umeandikisha hisa zako huko DSE kweli.
Yaani hela ni ngumu navyoijua labda utakutana na mwana akabeti